Niliyoyaona Angola, Simba ijipange sana NILIKUWA pale Luanda, Angola na Namungo iliyokwenda kucheza na Clube Desportivo 1 de Agosto mwaka jana. Lakini wageni hawakugusa mpira hata wa mazoezi kutokana na vihoja kutawala nje ya Uwanja.